Alex Hamadi Hamis
Member
- Apr 18, 2017
- 86
- 57
Wala sijakosea kulwa wangu joanah ni doctor.Auto correct imekuangusha 😂
From Doto to Doctor
Kama ana muonekano mzuri, we can do... Sio lazima slim ladies!Wala sijakosea kulwa wangu joanah ni doctor.
Ww ungefaa tatizo lako ni kibonge.
Sitafuti makabila, natafuta model wa kike mwenye muonekano mzuri mbele ya kamera
sawa nilikuwa natoa muongozo tu mkuu.Sitafuti makabila, natafuta model wa kike mwenye muonekano mzuri mbele ya kamera
Doctor Joanah fursa nyingine hii.
Auto correct imekuangusha 😂
From Doto to Doctor
Sitafuti makabila, natafuta model wa kike mwenye muonekano mzuri mbele ya kamera
Sijawahi kuhisi una aibu,pia nakuona kauzu hivi,mtata mtata..kwa kusoma comment zako lakini.Hivi unajua watu wataamini kweli hilo suala lako la udoctor 😂😂
Mleta mada kasema anahitaji mrembo mwenye mvuto mbele ya camera,sasa mie hapa sina mvuto mixer sipendi kabisaaaaaaaaa camera....tena na bikini???hell no
Halafu na aibu hizi aseee🙉