Natafuta mmliki wa bajaji, niwe dereva wa bajaji yake

Natafuta mmliki wa bajaji, niwe dereva wa bajaji yake

Nandinii

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
2,572
Reaction score
2,830
Habari Wakuu!

Natafuta mmiliki (Boss) wa bajaji, nikiwa kama dereva atanikabidhi kwa makubaliano ya mkataba mojawapo atakaohitaji kati ya hii;

1. Mkataba wa makubaliano ya rejesho la kawaida kwa siku ambao hausishi muda wa chombo kumilikiwa na dereva.
2. Mkataba wa makubaliano ya rejesho linalohusiana na muda flan ambao chombo kitakuwa cha dereva mkataba huo utakapokwisha.

Naishi Mombasa G/mboto.

MAWASILIANO.0789702863.au 0718286870.
 
Naivi bajaj na pikipiki zinaingia mjini full kupiga mahela hapo,Kila la kheri kijana
 
Nafikiri kwenye heading ulipaswa kuandika kwamba..... Unatafuta kazi ya kuendesha bajaji.
Kisha baada ya hapo ingefuata kujimwambafai flani kama unatupia CV isiyo rasmi...teh[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom