Natafuta mme

Natafuta mme

Ua4

Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
32
Reaction score
54
Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
 
Papuchi hyoo ngoja nichangamkie njoo kwangu bibie nina vigezo vyote unavyotaka!!!
 
Ushaona umeshaboronga chuoni sasa unatafuta kichaka cha kujifichiae? Ulikuwa unasomea kupata mume au kazi? Unataka mume mwenye kipato kwanini wewe hujafikiri kutafuta kipato kwanza unatafuta mume? Mbona umejirahisisha hivyo ni mzima kweli?
 
Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
Nicheki Inbox we can make it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom