Natafuta mme nina VVU

Natafuta mme nina VVU

Bibie ngoja nikapime kwanza hospital, nikikutwa nao tu, hesabia ushapata mchumba baby bitemo eeh...
 
Sasa mchumba unaemtaka na yeye awe muadhirika? Nasikia vikichanganyika inakuwa balaa zaidi.
 
Naktakia kila laheri mpendwa,mungu aktangulie umpate mtakyepndana na mfunge ndoa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom