Natafuta Mme Mtu Mzima

Yule Lemutuzzzz anakufaa sana hana shida huwa anatafuna any mambebezzzzzz na anaweza akakuconnect na wastaafu
 
Guys, yani comments zenu me hoi huku.

Eti unakwepa unyumba hahaha
Ale pensheni hahaha.
 
Khaa!! We nhc umergw kwan ultk Mme mait il uitw mjne au?! Ungsem hvi natafuta mume anayejitambua kwn anwez kuw mzm lkn acjtambue!!
 
Njoo kwangu Nina wake 6 wewe utakuwa wa 7.

Ila lazima ujue kulima wake zangu wote nimewapa mashamba ya mahindi,mpunga,maharage,alizeti wanalima Mimi silimi kazi yangu kukusanya mazao na kuuza ,nikishauza ninawapa ela ya kanga,vitenge,mafuta nk.,zilizobaki nazitunza Mimi baba mwenye mji.
 
Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM


Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo

Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
Queen Rover, naona umebadili mawazo/masharti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom