Ninaamini ktk Mithali 19:14, kwamba, "Nyumba na Mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana".
Kwa maana nyingine fungu hili humaanisha hata mume mwenye kufaa, mtu hupewa na Bwana.
Ninapenda kukushauri kuwa, muombe Mungu akupe mume ila siyo kazi ya huyo mume maana hitaji lako ni mume na siyo kazi. Labda kama unataka kazi tukutafutie, lkn kama hitaji lako ni mume, acha kuweka vigezo vya kazi maana hayo ni majaaliwa tu.
Itapendeza sana ukinielewa.
Teh teh!! Single mamas wanapitia wakati mgumu. Dah! Ngoja niende kanisani na bango lake, huenda akapata huko.
hapo ndo wanawake wengi wasipopaelewa. kipindi cha ujana wangu kuna mademu kibao walinikataa eti sina kazi ya kueleweka. baada ya kujiendeleza kidogo na kukaa sawa wakaanza kujileta nakunitafuta kwa fujo.
bahati yao mbaya vyumba vikawa vimeshajaa. wao wanadhani kila leo itakuwa sawa na kesho.
Ninaamini ktk Mithali 19:14, kwamba, "Nyumba na Mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana".
Kwa maana nyingine fungu hili humaanisha hata mume mwenye kufaa, mtu hupewa na Bwana.
Ninapenda kukushauri kuwa, muombe Mungu akupe mume ila siyo kazi ya huyo mume maana hitaji lako ni mume na siyo kazi. Labda kama unataka kazi tukutafutie, lkn kama hitaji lako ni mume, acha kuweka vigezo vya kazi maana hayo ni majaaliwa tu.
Itapendeza sana ukinielewa.
hapo ndo wanawake wengi wasipopaelewa. kipindi cha ujana wangu kuna mademu kibao walinikataa eti sina kazi ya kueleweka. baada ya kujiendeleza kidogo na kukaa sawa wakaanza kujileta nakunitafuta kwa fujo.
bahati yao mbaya vyumba vikawa vimeshajaa. wao wanadhani kila leo itakuwa sawa na kesho.
Uko sawa kabisa ndg yangu kwani kazi ni mapito tu. Wapo waliokuwa na lkn baada ya muda waliachishwa kazi au waliugua wakashindwa kabisa kufanya kazi tena. Hivi tujiulize, iwapo kigezo cha kumpata mume au mke kitakuwa ni kazi, hivi ikitokea hivyo, unaoa au kuolewa na mwingine?
Ombi langu tubadilikeni tu maana wako wengi walokuwa na kazi ila kwa sasa ni wahitaji wakuu na wale waliodharaulika hapo mwanzo, leo ndo kimbilio la wengi.
Jamani maisha hubadilika kila kuchapo. Kigezo kikubwa cha kumpata mume au mke kiwe ni ucha Mungu na siyo kazi.
Asanten sana, mbarikiwe
Asanten sana, mbarikiwe
Natamani nimcc mtu lakini sijui atanielewa? Vigezo vyote vipo ila hilo la mtoto mh? ila anaweza elewa maana nimuelewa.....guess who????....piga Kimya bas!!!
Wanao hitaji mchepuko huo umejileta
wasabato ni wabaguzi wa kidini sana, mtaishia kuzalishwa au kuolewa na wasabato wenzenu bila kuwa na love
wasabato ni wabaguzi wa kidini sana, mtaishia kuzalishwa au kuolewa na wasabato wenzenu bila kuwa na love
kwanza ujieleze kwanini ulizaa mapema huenda kwa kua hujatulia sasa bado unataka tena kuolewa na mwanaume msabato elewa kua wanaume wasabato ni malaya sana sijui km utawaweza .tafakari
Mmh! Naomba tuwe wastarabu, nitukaneni mm niliyeweka post hii, ila si kuanza kutoa maneno ya karaha kwa dhehebu la wasabato au wanaume wa kisabato.
Umalaya ni tabia ya mtu na kila dhehebu au dini kuna wanaume malaya,
kama unaona post haiko sawa, ni vizuri kushauri kwa lugha nzuri bila kuumiza hisia za watu wengine.