ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Mimi ni mwajiriwa wa serikali,nna mwaka 1 na miezi nane kazini,natafuta sehemu ya kukopa yenye riba nafuu,maana nimeenda bank ya NMB unakopitia mshahara wangu,wananiambia mpaka niwe barua ya kuthibitishwa kazini,ila barua ya kuajiriwa ninayo,nna shida ya fedha kidogo ya haraka,mawazo kwenu naomba msinibeze