Natafuta mke

Poba Crew

Member
Jul 14, 2013
23
2
Naitwa Prosper naishi Ndanda wilaya Masasi mkoan Mtwara umri wangu ni miaka 25 ni mkiristo na elimu yangu ni kidato cha nne.

Natafuta mke ,umri kuanzia 17-24 sichagui dini kabila wala elimu. Niko serious na nilichokiandika hapa sijaja hapa kuzuga watu.

Kama una nia we mwanamke nitafute whatsApp kwa NO 0789764786.

Nahitaji walio serious plz.
 
Last edited by a moderator:
Prosper....
Ungewaeka na kipato chako kwa mwezi ili kuongeza mvuto aiseee......
Lakini subiri waamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom