Natafuta mke

Natafuta mke

Mimi ni mwanaume nimesoma na nimeajiriwa serikalini! Ninatafuta mwanamke aliye tayari kuolewa na kulea familia! mimi nina umri wa miaka 30 aliye tayari Pm!

Weka picha
 
:smow: sifa na vigezo kuzingatiwa but unapotafuta mke jaribu kutaja sifa za huyo mwanamke unaemtaka ziweje mfano umri,elimu ingawa c lazima sn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom