Natafuta mke

Natafuta mke

Nadhani hapa unatania. Hizi issue sio kabisa. Utakuja kutana na mwanamke waajabu wewe, utakoma. Mbona wanawake wapo wengi tu mitaani?
 
Nadhani hapa unatania. Hizi issue sio kabisa. Utakuja kutana na mwanamke waajabu wewe, utakoma. Mbona wanawake wapo wengi tu mitaani?

It's either a plan A or a plan B, I am here looking for a darly
 
It's either a plan A or a plan B, I am here looking for a darly

Aise ndugu tafuta pesa kwanza hawa wadudu wanakuja wenyewe tu. Hutakuwa na upweke ukiwa na mkwanja. Ndio fomula bro.
 
Ungejitambua wala usingeleta tangazo humu,hiv unafikiri kupata mke ni kazi rahisi?labda tafuta dem na si mke.
 
Kwa nini cntapata?

Hakuna background ya kuscreen michango yako ya humu ndani ili kukuelewa wewe ni mtu wa aina gani, unajua humu tumeficha ID, ili mtu ajue we ni mtu wa aina gani anapitia michango yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom