Natafuta Mke

Natafuta Mke

Ninatafuta mke sifa ninazotaka,

i) Awe ni doctor au ni mwanafunzi wa MD
umri 23-28
ii) Rangi haijalishi ila itakuwa vizuri akiwa maji ya kunde
iii) Umbo saizi ya kati( yani asiwe mnene wala mwembamba sana)
iv) Sichagui kabila ( ila itakuwa vizuri akiwa ni mtu wa tanga)


Sifa zangu:

-Muajiriwa serikalini( engineer)
-Mrefu mweusi
-Mwembamba
- Muhaya
- Muislamu

KAMA UKO NA SIFA ZA HAPO JUU PM. NAOMBA NIELEWEKE NATAFUTA MKE NA SIO GIRLFRIEND.

Asanteni

Vigezo vyote nnavyo na kabila tunaendana kabisa haha kasoro mm mwanasheria c unajua cc nshomile na sheria damdam...mi namuunga mkono mdau aliyesema peleka tangazo MUHAS utawapata fast.Goodluck
 
VIJANA WA KISASA GROUP
JE UNATAKA MPENZI AU MCHUMBA? Tunaitwa "vijana wa kisasa group" tunajishughulisha na kazi zifuatazo
1.kukutongozea mwanamke unayempenda kwa sh. 10,000/=
2.Kukutafutia mwanamke wa kuoa/kuolewa naye mwenye sifa unazotaka kwa sh. 5000/=
3.Kukutumia sms za kumuomba msamaha mpenzi wako pale unapomkosea kwa sh. 3000/=
4.kukutumia sms za mapenzi za kumtumia mpenzi wako umupendaye kwa sh. 2000/= Utatumiwa sms 60 Kwa siku 7
5.Kukutafutia house girl/ house boy kwa sh. 15,000/=
6.Kukutafutia mwanamke wa kupangisha naye kwa sh. 25,000/=
7.Kukutafutia kazi mbali mbali Km vile gereji, kampuni uwakala, nk kwa. sh. 30,000/=
8.sms za kumtongoza mwanamke kwa sh. 3000/= Tupigie simu/Tuandikie ujumbe mfupi kuja namba 0787524420 nyote mnakaribishwa msiogope.


haya, kazi kwako...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom