Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,408 Reaction score 102,432 Jan 1, 2026 #41 Minah said: Mh jaman mbona umenikomalia😫😫 Click to expand... Mwaka jana hiyo, vipi una taka kuwa rafiki yangu 2026?
Minah said: Mh jaman mbona umenikomalia😫😫 Click to expand... Mwaka jana hiyo, vipi una taka kuwa rafiki yangu 2026?
Minah JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 858 Reaction score 2,377 Jan 1, 2026 #42 Intelligent businessman said: Mwaka jana hiyo, vipi una taka kuwa rafiki yangu 2026? Click to expand... Heri ya mwaka mpya rafiki yangu🤣🤝
Intelligent businessman said: Mwaka jana hiyo, vipi una taka kuwa rafiki yangu 2026? Click to expand... Heri ya mwaka mpya rafiki yangu🤣🤝
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,554 Reaction score 94,283 Jan 1, 2026 #43 Irikenyi said: Umri wangu ni miaka 45 Kazi biashara ndogondogo Dini mkristo Makazi Dar Sifa za mke kuanzia miaka 30-42 Dini yoyote Karibu Click to expand... Miaka 45 ni Umri wa kustaafu jeshini.
Irikenyi said: Umri wangu ni miaka 45 Kazi biashara ndogondogo Dini mkristo Makazi Dar Sifa za mke kuanzia miaka 30-42 Dini yoyote Karibu Click to expand... Miaka 45 ni Umri wa kustaafu jeshini.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,408 Reaction score 102,432 Jan 1, 2026 #44 Minah said: Heri ya mwaka mpya rafiki yangu🤣🤝 Click to expand... Asante Sana rafiki mpya, ole wako uni gaye 😁
Minah said: Heri ya mwaka mpya rafiki yangu🤣🤝 Click to expand... Asante Sana rafiki mpya, ole wako uni gaye 😁
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 3,197 Reaction score 4,591 Jan 1, 2026 #45 King Kong III said: Miaka 45 ni Umri wa kustaafu jeshini. Click to expand... Bado sana
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,956 Reaction score 26,106 Jan 1, 2026 #46 Nyege mbaya sana. Wenzio wa 45 wanawaza kulea vitukuu,wewe unawaza ngono tu bado?
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,042 Reaction score 9,652 Jan 1, 2026 #47 Irikenyi said: Umri wangu ni miaka 45 Kazi biashara ndogondogo Dini mkristo Makazi Dar Sifa za mke kuanzia miaka 30-42 Dini yoyote Karibu Click to expand... Usiseme hivi mkuu maneno huumba Ukijitamkia biashara yako ni ndogondogo itakuwa hivyo always Anyway pisi za Jf zinataka hela mkuu kajitafute kwanza Thou sikukatishi tamaa Mungu akupe hitaji la moyo wako
Irikenyi said: Umri wangu ni miaka 45 Kazi biashara ndogondogo Dini mkristo Makazi Dar Sifa za mke kuanzia miaka 30-42 Dini yoyote Karibu Click to expand... Usiseme hivi mkuu maneno huumba Ukijitamkia biashara yako ni ndogondogo itakuwa hivyo always Anyway pisi za Jf zinataka hela mkuu kajitafute kwanza Thou sikukatishi tamaa Mungu akupe hitaji la moyo wako
msomania1 Member Joined Nov 17, 2025 Posts 28 Reaction score 27 Jun 6, 2026 #48 Holoholo said: Tafuta wasimbe na wanaojiuza hapo dar! Humu jf ni kwa wenye akili timamu na familia zao. Click to expand... Yakikukuta utakuja.inaonekana hapakuhusu umevamia
Holoholo said: Tafuta wasimbe na wanaojiuza hapo dar! Humu jf ni kwa wenye akili timamu na familia zao. Click to expand... Yakikukuta utakuja.inaonekana hapakuhusu umevamia
msomania1 Member Joined Nov 17, 2025 Posts 28 Reaction score 27 Jun 6, 2026 #49 Jane Msowoya said: Usiseme hivi mkuu maneno huumba Ukijitamkia biashara yako ni ndogondogo itakuwa hivyo always Anyway pisi za Jf zinataka hela mkuu kajitafute kwanza Thou sikukatishi tamaa Mungu akupe hitaji la moyo wako Click to expand... Kwani wanalazimishwa?akiona anataka hela akatafute zake
Jane Msowoya said: Usiseme hivi mkuu maneno huumba Ukijitamkia biashara yako ni ndogondogo itakuwa hivyo always Anyway pisi za Jf zinataka hela mkuu kajitafute kwanza Thou sikukatishi tamaa Mungu akupe hitaji la moyo wako Click to expand... Kwani wanalazimishwa?akiona anataka hela akatafute zake
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,386 Reaction score 8,670 Jun 12, 2026 #50 Mungu akupe haja ya moyo wako.