Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,759
- 8,221
Idea nini if huwezi kuifanya ikaleta unachotamani?. Ulimwengu umevuka huko bidada.... Hata matajiri wanatafuta wanawake wanaoweza kufanya kazi. Tafuta pesa zako ufanye starehe 😂Me naweza kuchangia idea and how to spend money