Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,420
- 14,663
TULIAUmri wa pensheni huu.
Nakuja baba.
TULIAUmri wa pensheni huu.
Nakuja baba.
Si useme tu awe na hela ukadange. Kitu fulani gani? Gunia za mkaa?Mtu akufie shida nini 60 eti kero mara ufumaniwe na kijana mara kuzaa naye shida anywe viagra ndio apige kimoja azimie . Mara amshwe babu dawa zako. Mmh !
Mie siwezi hiyo kitu.
Labda awe anakitu fulani je hi mitoto yake na majina yao. Umefuata ninj kwa baba umekosa warika lako?
Anazuga muongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aiseee Da mau nimekushindwa!Hata vijana wanakufa bwana na wanapaka mkongo usiwaamini sana vijana hao ni pasua kichwa,chagua Mzee ukale maisha Binti....Hawa wa umri huu watoto wao wanafanya kazi we ukifika ni safari tu za Tarangire na magoroto Lamomy njoo mshauri shoga yako
🤣🤣🤣🤣 Sis hebu tulia kwanza, mchukue shem huyo anaonekana ana ulisi wa kushato ni ww wa kuzitumia unahitajia.!!Yaani umeukariri🤔🤔🤔?hata hivyo Gigy Hana akili ya kuandika huu ujinga lazima aliandikiwa..
Mie tena? Huyo wako bana, mi na wazee hatuwezani nishazoea hekaheka na wanaume wa 30s 🤣🤣🤣🤣Lazima Ulisi utakuwepo si utakuwa mkewe bwana😁😁😁
Tumeshaanza mazungumzo ya awali,, nitakuletea mrejesho🤣🤣🤣🤣 Sis hebu tulia kwanza, mchukue shem huyo anaonekana ana ulisi wa kushato ni ww wa kuzitumia unahitajia.!!
Oyooooooo!!! 😍😍😍😍Tumeshaanza mazungumzo ya awali,, nitakuletea mrejesho
Uzi kama huu angeleta jinsia ke ndio mngeona dunia haina usawa
Angekutana na kila aina ya kejeli
Nwei,kila la heri
Watu hawana muda na vizee mtu akipanda analala huko huko aku nani anataka kuishi na muujizaSi useme tu awe na hela ukadange. Kitu fulani gani? Gunia za mkaa?
We mwenyewe ni muujiza vilevile, af acha kunifatiliaWatu hawana muda na vizee mtu akipanda analala huko huko aku nani anataka kuishi na muujiza
Tulia nikampeti peti baba yetu kwanza.TULIA
Mke hatafutwi ndugu yangu ukiona unatafuta mke jua bado hauna sifa ya kumiliki mke. Mdogo wangu jipambanie kwanza,jitafute halafu watakusumbua kama nzi kwenze bucha la nyama.Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa na awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo umri wake usiZidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana