Natafuta mke

Natafuta mke

Huu ni uchawi😒😒
Tukiwaambia wanaooa saiv betri inasoma 2% muwe mnaelewa 😁

Kwanza huwezi tafuta mwanamke ktk ombwe la watu wanaotumia utambulisho bandia, hamjuani, hamjasomana kitabia, hamjakiwasha kuona kama vitendeakazi(vitombeo) yaliyomo yamo

Pili angalia muhusika alivojieleza maelezo hayajitishelezi kbs hasemi umri wake, mitazamo ya kiimani, hali yake ya Sasa kiuchumi kiafya n.k
 
humu si watapeana mawasiliano, mengine watafahamishana taratibu huko nje😃
 
Weka vyeti vya ndoa 🤣🤣humu mtu ana ID mbili Moja ya kike Moja ya kiume anajifanyia vitu anapenda......hz fake ID hz
Ahahaha😂😂🤭🤭.. ila wewe jamaa hapana kwakweli,, ila si walishawahi hata kupiga story za mapenzi huko nje jamani
 
Story wamepiga na wengine hadi nyeti wamelambana ila hayo yanafanyika kimkakati sana.....baada ya hapo wakichokana ndo mtu anakuja na multiple ID au anabadilisha kbs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom