Hapo kwnye shape hapoo nimepoteza point kwnye dakika ya 3Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-33.
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea (Degree,master, PhD).
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu.
5. Awe mzuri na mwenye shape.
6. Awe anakaa Dar.
7. Awe Mkristo wa dhehebu lolote.
Mimi;
1. Nina degree ya IT.
2. Ninakazi yangu ambayo inanifanya niwe na uwezo wa kuihudumia familia.
3. Nina miaka 33.
NB: Ningependa kweli nipate mwanamke anayeijua na kuielewa taasisi ya ndoa na familia na atakayeweza kuviishi viapo vya ndoa.
Wadangaji na waigizaji msije PM mtakachokutana nacho msije kunilaumu.
Ukitaka kujua hayo kama upo interested njoo DM.Kwa kuzingatia kifungu no 5 hapo juu. Wewe unatazamika? Huna kitambi? Mrefu? Mweusi?
Weka wasifu wako vizuri hapa hapaUkitaka kujua hayo kama upo interested njoo DM.
Anayetaka atakuja then kuna video call na tuta exchange picha.Weka wasifu wako vizuri hapa hapa
Mmmh kwa kiburi hiki haya ngoja wajeAnayetaka atakuja then kuna video call na tuta exchange picha.
Sina kiburi bali ww haupo interested na uzuri sina haraka.Mmmh kwa kiburi hiki haya ngoja waje
sawa kiongoziSina kiburi bali ww haupo interested na uzuri sina haraka.
Naona umeamua kutangaza na mishe zako kabisa. Huyo mwamba anatafuta Ke mwenye sifa kama zakoMmmh kwa kiburi hiki haya ngoja waje
Lakini wakati unasubiria mke karibu sana
iG @dollrubii_decors
SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
Asalaam aleykum?Kheri huko ?Kila la kheri
fighter19 waliomo humu JF ndio wale wale wa mtaani kwako. Sema humu ni wajuaji halafu wanajifanya kama hawataki ndoa kumbe wanazitaka kuliko hata chakula 😂😂😂Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-33.
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea (Degree,master, PhD).
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu.
5. Awe mzuri na mwenye shape.
6. Awe anakaa Dar.
7. Awe Mkristo wa dhehebu lolote.
Mimi;
1. Nina degree ya IT.
2. Ninakazi yangu ambayo inanifanya niwe na uwezo wa kuihudumia familia.
3. Nina miaka 33.
NB: Ningependa kweli nipate mwanamke anayeijua na kuielewa taasisi ya ndoa na familia na atakayeweza kuviishi viapo vya ndoa.
Wadangaji na waigizaji msije PM mtakachokutana nacho msije kunilaumu.
Waleykum salamAsalaam aleykum?Kheri huko ?
nenda Pm haraka, shape zipo muhimbili hapoHapo kwnye shape hapoo nimepoteza point kwnye dakika ya 3