Natafuta mke

Rahimu kiwani

Member
Jun 14, 2022
58
47
Habari zenu ndugu Jamii Forum,

Nia ya kuandika uzi huu hapa, ni kutoa attention juu ya mada ya hapo juu, haja yangu kupata mke wa maisha ambae atakua ni mbora wa maisha yangu, kwa mawasiliano zaidi waweza kunitafuta kupitia wasap namba +255773120431.

Hii namba anitafute ambae yupo tayari na hiyo jambo vinginevyo kama unaona haikuhusu basi usihangaike nayo, kigezo/ vigezo: awe mweupe au mng'avu, awe na umri kuanzia 25-28, awe amesoma level kuanzia form four had chuo , asiwe chibonge, asiwe mfupi, Dini yeyote ila awe tayari kunifata ktk dini yangu. Karibuni sana...... ..........
 
Mijinga kama nyie ndio mnatukwamisha, mnakuwa primitives sana , sasa unadhani mtandao hauna mchango wa kupata mke?
Hahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzako

Afu acha kujibu kwa mhemuko! Nyie ndio mijinga inayo ongea bila kujua taratibu za kutafuta mke

Umri sio akili
Wewe hujitambui

Au fanya akuoe tujue ndoa yako ulipata mtandaoni
 
Habari zenu ndgu jamii forum, nia ya kuandika uzi huu hapa, ni kutoa attention juu ya mada ya hpo juu , haja yangu kupata mke wa maisha ambae atakua ni mbora w maisha yangu, kwa mawasiliano zaidi waweza kunitafuta kupitia wasap namba +255773120431.
Hii namba anitafute ambae yupo tayari na hiyo jambo vinginevyo kama unaona haikuhusu basi usihangaike nayo, kigezo/ vigezo: awe mweupe au mng'avu, awe na umri kuanzia 25-28, awe amesoma level kuanzia form four had chuo , asiwe chibonge, asiwe mfupi, Dini yeyote ila awe tayari kunifata ktk dini yangu. Karibuni sana...... ..........
Hili baridi ndio limesababisha yote haya. Kila la heri
 
Hahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzako

Afu acha kujibu kwa mhemuko! Nyie ndio mijinga inayo ongea bila kujua taratibu za kutafuta mke

Umri sio akili
Wewe hujitambui

Au fanya akuoe tujue ndoa yako ulipata mtandaoni
Una akili mbovu kabisa we kijana,
Utakua na shida sehem ama ni malezi mabovu uliyoyapata....
Be smart
 
Habari zenu ndgu jamii forum, nia ya kuandika uzi huu hapa, ni kutoa attention juu ya mada ya hpo juu , haja yangu kupata mke wa maisha ambae atakua ni mbora w maisha yangu, kwa mawasiliano zaidi waweza kunitafuta kupitia wasap namba +255773120431.
Hii namba anitafute ambae yupo tayari na hiyo jambo vinginevyo kama unaona haikuhusu basi usihangaike nayo, kigezo/ vigezo: awe mweupe au mng'avu, awe na umri kuanzia 25-28, awe amesoma level kuanzia form four had chuo , asiwe chibonge, asiwe mfupi, Dini yeyote ila awe tayari kunifata ktk dini yangu. Karibuni sana...... ..........
We Mwana unaakili sana unatumia mitandao kwa faida binafsi pia, Siyo hawa wapiga zogo. Ushapata wangapi?
 
Hahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzako

Afu acha kujibu kwa mhemuko! Nyie ndio mijinga inayo ongea bila kujua taratibu za kutafuta mke

Umri sio akili
Wewe hujitambui

Au fanya akuoe tujue ndoa yako ulipata mtandaoni
Kazi kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom