Natafuta mke

Nina umri miaka 35,
Naishi Moshi
Kazi ni mfanyabiashara

Sifa za mwanamke naemuhitaji
Umri kuanzia 25-35
Awe anaishi Moshi au mikoa ya jirani
Awe amejiajiri au kuajiriwa
Kama single mother awe na mtoto mmoja sio zaidi ya mmoja.

Kama yupo mwanamke alie serious karibu tuyajenge. Anicheki whatsap kwa namba hii 0719010392.

NB; kwa walio serious na uhitaji wa mume tu kama upo kujifurahisha naomba kaa mbali na mimi plz.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ushapata dady

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Habari. Natafuta mwenza wa maisha( mke mtarajiwa)
Naishi Moshi
Umri miaka 36
Kazi ni biashara

Mwanamke awe na sifa hizi
Awe na umri kuanzia 20-35
Alie tayari kua na familia
Mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu
Mwanamke mwenye uhitaji anicheki DM tuyajenge!

Ni hayo tu! Asanteni

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom