SIFA ZANGU
Umri 36
Dini:.Mkristo
Elimu:Shahada ya uzamili.
Ajira:Mwajiliwa wa serikali.
Urefu :172cm
SIFA ZA MWANAMKE
Umri zaidi ya 30.
Dini:Yoyote
Kabila
ote.
Elimu: Diploma na kuendelea.
Kazi:Yoyote halali.
NB:Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.