Natafuta mke

Natafuta mke

I'm happy for him mate. Sikuandika hivyo kumtakia asipate tamanio la moyo wake. Ni kwamba sikukubaliana na njisi alivyojieleza zaidi. Coz hua naamini kwenye maeleze mengi kuna uongo mwingi ila hii haimaanishi kwamba mtoa mada anaongea uongo
Nakosa la kukwambia, yote kwa yote ahsante mzee..

Ulifeli jambo dogo sana, maelezo machache ni kwa wenye kuelewa vingi ndani ya vichache, ambao ni wachache mnoo, kuongea kimatumbi kwa mtu anaejua kisukuma ni kupoteza muda.
 
Kumbe kuna watu serious humu, hongereni sana mkuu, kila rakheri ktk maisha ya ndoa.

Soon nakuja na uzi , umeniinspire mkuu
Humu kama jalalani, unaweza kuokota visenti viwili vi3 katika fuko la takataka.

Wapo wachache walio serious japo wanamezwa na wengi ambao ni wazinguaji.

Amin ndugu yangu,

Kila la kheri nawe mkuu, ukipandisha uzi wako unishitue nije kusafisha macho.
 
Humu kama jalalani, unaweza kuokota visenti viwili vi3 katika fuko la takataka.

Wapo wachache walio serious japo wanamezwa na wengi ambao ni wazinguaji
!
Vipi ulifanikiwa kujipatia mke humu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom