natafuta mke wakuoa

natafuta mke wakuoa

Pascal2013

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
14
Reaction score
1
naitwa p.m naish dar npo chuo mwaka wa pili, naitaji mke mchamungu, anaejua kupenda,mweupe,mrefu kias,kabila lolote,dini yeyote,asiwe mrev, mm sna mtoto nae pia,awe amesoma chuo kikuu, namin mungu atatenda,m ni maji yaknde,2ma jkandilo@yahoo.com/0787229990
 
jifunze kuandikwa kwa ufasaha P.M..

uko chuo mwaka wa pili na unataka kuoa?????????
 
Jina lako pm ? zaidi ya maji ya kunde sifa gani nyengine unayo
 
naitwa p.m naish dar npo chuo mwaka wa pili, naitaji mke mchamungu, anaejua kupenda,mweupe,mrefu kias,kabila lolote,dini yeyote,asiwe mrev, mm sna mtoto nae pia,awe amesoma chuo kikuu, namin mungu atatenda,m ni maji yaknde,2ma jkandilo@yahoo.com/0787229990
kwani hapo clss kwenu hakuna mabinti ujichagulie au ndo domo zege
 
naitwa p.m naish dar npo chuo mwaka wa pili, naitaji mke mchamungu, anaejua kupenda,mweupe,mrefu kias,kabila lolote,dini yeyote,asiwe mrev, mm sna mtoto nae pia,awe amesoma chuo kikuu, namin mungu atatenda,m ni maji yaknde,2ma jkandilo@yahoo.com/0787229990
Ungeweka Tangazo shule ungepata wengi sana ebu fanya hivyo kuanzia kesho halafu uone majibu yake...
 
ungekuwa na imani na Mungu kama unavyosema, usingeleta maombi huku. ungemwomba Mungu akupe mke mwema. Mungu amekwambia utume maombi huku au ni roho mtakafujo kakutuma?
 
naitwa p.m naish dar npo chuo mwaka wa pili, naitaji mke mchamungu, anaejua kupenda,mweupe,mrefu kias,kabila lolote,dini yeyote,asiwe mrev, mm sna mtoto nae pia,awe amesoma chuo kikuu, namin mungu atatenda,m ni maji yaknde,2ma jkandilo@yahoo.com/0787229990

huku huwezi kupata mi nakushauri uende kona bar,kimboka,buguruni,meeda,mori na ohio huko utawapata wa kila aina tena bila mikwaruzo.
 
hivi kumbe wake siku hizi wanapatikana kwa matangazo mithili ya magari na simu? weka picha basi na specification nyingine kama vile milage (amekuwa na wanaume wangapi nyuma) ili nikuuzie wa kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom