graciasp3
New Member
- Apr 27, 2025
- 1
- 1
Habari za mda huu wakubwa kwa wadogo,,,sipend kuzunguka mnoo nataka niende straight to the point,,,,natafuta mwanamke wakuoa umri tyr nshaandika apo juu,,,
Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo
Sifa ya mke ninaye mtaka.
~ Awe na umri 25_27
~ Elimu siyo kipaumbele changu.
~ Dini yeyote
~ Kabila lolote.
~ Akiwa na mtoto mtoto 1 tuu haina shida, akiwa hana napo sawa.
~ Awe na mapenzi ya kweli.ajifunze namna yakuniheshimu pia.
_asiwe mwembamba sana wala mnene sana
-asiwe mweusi sana(mwanamke ni nuru ya nyumba)✌️
_awe mrembo anaejua kuvaa vzr kuongea vzr(mwanamke ni pambo la nyumba)
_ambae hatumii kilevi chcht kile na mpenda starehe
_awe na hofu ya Mungu .
Kwa wale wote mtakao iona hili andiko mtambue kuwa sijaja apa kujaza kurasa ama kupoteza wakati niko serious mnoo an honestly naona ni mda sahh mm kuoa so plz unapokuja inbox njoo ukimaanisha unachofanya!! Ladies ur welcome!!!