TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 25,125
- 11,540
huyo zomba kule kwingine wanamwita kimavi... keshachafua sasa anataka kuleta kimavi kipande hii:tape2::tape2::tape2:
brace yourself
huyo zomba kule kwingine wanamwita kimavi... keshachafua sasa anataka kuleta kimavi kipande hii:tape2::tape2::tape2:
Hapana jamani ila nawasaidia hao wanaoPM,wewe tu mchakamchaka wako jasho linanitoka nikatafute na kibabu cha kipemba cha nini mie
Kama uko interested na utakubali masharti yangu niko tayari.
huyo zomba kule kwingine wanamwita kimavi... keshachafua sasa anataka kuleta kimavi kipande hii
brace yourself
siamini nnachokisoma hapa,,,wapi finest anisomee!
mbona anamwaribia sasa,mwenzie watu washaanza kupm kwenda lima na kucha huko,si unajua kwa watu wengine kuolewa ndio kunaleta heshma,sio namna unavyoweza endesha maisha yako!!!Hahahaha...kamanda naona unataka kumwamisha mtu meza hapa!
Usijali honey...babu alijing'ata ulimi kidogo. Mutu ya upendo, mutu ya vitendo. Nakutafutia chakula ya moyo.
mbona anamwaribia sasa,mwenzie watu washaanza kupm kwenda lima na kucha huko,si unajua kwa watu wengine kuolewa ndio kunaleta heshma,sio namna unavyoweza endesha maisha yako!!!
Mie sio mpemba ni ndugu yake Rostam Aziz!, hukuona juu, nimekwambia mie ni CCM damu. Lakini sijali mke atakuwa wa chama kipi, kwa raha zake.
Mi naelewa wewe vzr,,no one to dispute it love
mh ongea babu kimya kibaya,saidia wajukuu huko wanatafutwa kwenda lima pwani huko ohooo
Hahaha ogopa kulimia kucha...kama unaendesha baiskeli inayoshuka mlima.
huku umefumba macho,hahahahaaaaa!!!
Naomba usini mis-quote, si wajukuu tu hata ma-dada, ma-bibi, si neno, age range yangu nnayohitaji ni pana 14 t0 65, nadhani kuna rika zote hapo, vitotoz, vi-bintiz, vi-dadaz, vi-mamaz na vi-bibiz, yeyote anae ridhika na masharti mie nipo Ok.
Invizibo kajisahau kaiachia. Na babu kwa vitendo bila kuchelewa. Kamata hiyo hapo. Hapo hana mamlaka ya kuitoa. Ni mali yangu kwa ajili yako wewe, wewe peke yako.Mi naelewa wewe vzr,,no one to dispute it love
Babu amekosa la kusema...inaelekea kiongozi unasokomeza kama msumeno mpaka shosti hana time ya kuwa mke wa tatu kwa mtu.
Hicho kilimo cha Pwani ndo kimenistua. Manake mvua hamna na mpango wa KILIMO KWANZA haujaelekezwa huko...huyo n'ke wa tatu mbona atalimia kucha?
NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUOANA:
SIFA ZAKE:
1. UMRI: Kuanzia miaka 14 mpaka 65
2. ELIMU: Sio Muhimu
3. AFYA: i) Awe Tayari Kupima magonjwa yote ya kuambukiza
ii) Asiwe na maradhi ya kudumu, kama kichaa, pumu, kisukari, blood pressure (kupanda au kushuka)
4. SIFA: i) Awe ana mali zake au kwao ana mali na hatokuwa tegemezi, mimi
ntatimiza wajibu wangu wa nyumba, kula, kuvaa. Zaidi ya hayo ajitegemee.
ii) Awe mzuri
iii) Awe na dini, Muislam, Mkristo au Yahudi, lakini si wajina wa vitendo.
5) Kabila: Yeyote ile
6) Rangi: Yeyote ile
7) Hakuna kufanya mapenzi kabla ya ndoa.
8) Hakuna kungoja, akipatikana leo, tunapeleka posa kwa wazee, tunaoana immediately.
9) Baada ya ndoa: wageni nyumbani ni wale wa karibu tu, Baba, Mama, Kaka, Dada
Mjomba, Shangazi, Mama mdogo/mkubwa. Hao wote ni halisa sio
wa kufikia au wakupanga. Na wakikaa nyumbani zaidi ya siku tatu,
wanalipia gharama zote (kula, kulala, sabuni, maji, umeme, choo
n.k.)
10) Akubali kuwa mke wa tatu, nna wengine wawili, tunaishi kwa furaha na amani, kila mmoja anakaa kwake.
11) Umri wangu, zaidi ya miaka 50 sijafikia 60.
mbona anamwaribia sasa,mwenzie watu washaanza kupm kwenda lima na kucha huko,si unajua kwa watu wengine kuolewa ndio kunaleta heshma,sio namna unavyoweza endesha maisha yako!!!