Natafuta Mke Wa Tatu

Kumbuka, si kwa ajili ya uwezo wa kifedha, nadhani ni principal zangu na mafundisho ya kidini, mgeni ni siku tatu ya nne anakuwa mwenyeji.

Of course, kama wana shida genuine ntawasaidia, lakini kuwasaidia si lazima wajazane kwangu.

Ahh hii ya kutojaziana wageni nimeipenda haswaaaa,maana kuna makabila jamani sio siri kichefuchefumaana utawasikia (UHU NI MWANA WA SHANGAZI YANE KABISA)wageni mwaka mzima mgeni gani wewe,ila ndio hivyo hayo masharti mengine ndio hapo chacha!!!
 
Hapana baba jamani,ila wazito hawabebeki,si unaona masharti juu hapo

Katika hayo masharti, gumu ni lipi? naomba nijuze, kama naweza kulitetea ntalitetea, la ni la kudhalilisha ntajirekebisha. Leta vitu.
 
Kina dada, mama, au ma kaka (?) mli ni PM, naomba msini PM, kama unahabari zozote weka hapa jamvini, mie sitaki mke wa siri au nyumba ndogo, Dini yangu inaniruhusu kuoana na mke zaidi ya mmoja, na siku hizi si tumeona hata wale wasiruhusiwa na dini zao wanachukuwa zaidi ya mmoja! tena wengine ni madakataro wa kanoni! Duh.
 
Katika hayo masharti, gumu ni lipi? naomba nijuze, kama naweza kulitetea ntalitetea, la ni la kudhalilisha ntajirekebisha. Leta vitu.

kuwa mke wa tatu ndugu yangu,hapana maana najua hata hiyo dini mnayodai mnaifata haijasema kuwa ni oazma kuwa na wake zaidi ya mmoja,ni ruhusa tu tena kwa sababu maalum na mwisho msisitizo ni bora muwa na mmoja kwa sababu uadilifu kiubinaadam huwezi,na wewe kwa nini hutaki maradh kwani tumependa kuumwa au mtu utakuwa mzima siku zote
 
Ahsante kwa hilo, nakubaliana na wewe mia kwa mia kuwa katika uIslam tu ndio kuna sentensi "mmoja tu" ikimaanisha kama hamtoweza kufanya uadilifu. Nakubaliana nawe kuwa tumeruhusiwa zaidi ya mmoja kwa sababu maalum, na nnashukuru sana kwa kuwa sababu ninazo tena ni nzuri tu, ni ya kiuchumi na kijamii.

Nimefurahi sana kuona kuwa yale masharti yangu mengine hayakuwa tatizo ila hilo moja na ambalo lina ufunuzi, sababu nnazo mbili. Sidhani kama utataka uzijuwe, la ikiwa utataka uzijuwe ntakuwekea hapa.

Kuhusu la kuumwa, hujanielewa, sitaki kuoa mgonjwa, lakini akiupatia ugonjwa katika ndoa yetu, ntamuenzi na kumtunza bila kusita hata kidogo.
 
Ahsante kwa hilo, nakubaliana na wewe mia kwa mia kuwa katika uIslam tu ndio kuna sentensi "mmoja tu" ikimaanisha kama hamtoweza kufanya uadilifu. Nakubaliana nawe kuwa tumeruhusiwa zaidi ya mmoja kwa sababu maalum, na nnashukuru sana kwa kuwa sababu ninazo tena ni nzuri tu, ni ya kiuchumi na kijamii.

Nimefurahi sana kuona kuwa yale masharti yangu mengine hayakuwa tatizo ila hilo moja na ambalo lina ufunuzi, sababu nnazo mbili. Sidhani kama utataka uzijuwe, la ikiwa utataka uzijuwe ntakuwekea hapa.

ningeshukuru ningezifahamu
 
ningeshukuru ningezifahamu

Ya kwanza: Nna mashamba matatu na mawili kati ya hayo Kuna Mke wa kwanza na wa Pili. La tatu halina muangalizi wakati mimi sipo, ningependa na hili la tatu liwe na muangalizi, mashamba haya yote yapo mkoa wa pwani.(hii ni sababu ya ki-uchumi).

Ya Pili: Sitaki kuzini na nna-hamasa zilizozidi uwezo wa hawa wake zangu wawili, inabidi niongeze ili nisitirike. (hii ni ya ki-jamii).
 
Hapana baba jamani,ila wazito hawabebeki,si unaona masharti juu hapo

Ahh hii ya kutojaziana wageni nimeipenda haswaaaa,maana kuna makabila jamani sio siri kichefuchefumaana utawasikia (UHU NI MWANA WA SHANGAZI YANE KABISA)wageni mwaka mzima mgeni gani wewe,ila ndio hivyo hayo masharti mengine ndio hapo chacha!!!

kuwa mke wa tatu ndugu yangu,hapana maana najua hata hiyo dini mnayodai mnaifata haijasema kuwa ni oazma kuwa na wake zaidi ya mmoja,ni ruhusa tu tena kwa sababu maalum na mwisho msisitizo ni bora muwa na mmoja kwa sababu uadilifu kiubinaadam huwezi,na wewe kwa nini hutaki maradh kwani tumependa kuumwa au mtu utakuwa mzima siku zote

ningeshukuru ningezifahamu

Are you interested?
 
Viipi tena babu mbona kimya?
Babu amekosa la kusema...inaelekea kiongozi unasokomeza kama msumeno mpaka shosti hana time ya kuwa mke wa tatu kwa mtu.

mh ongea babu kimya kibaya,saidia wajukuu huko wanatafutwa kwenda lima pwani huko ohooo
Hicho kilimo cha Pwani ndo kimenistua. Manake mvua hamna na mpango wa KILIMO KWANZA haujaelekezwa huko...huyo n'ke wa tatu mbona atalimia kucha?
 
Huyo mke wa tatu unatafuta wa kiume au wa kike?

Swali lako zuri sana, natafuta mke? sasa kama kuna wake wa kiume? inabidi unijuze, are you interested kuwa mke wa kiume?
 
Ahh hii ya kutojaziana wageni nimeipenda haswaaaa,maana kuna makabila jamani sio siri kichefuchefumaana utawasikia (UHU NI MWANA WA SHANGAZI YANE KABISA)wageni mwaka mzima mgeni gani wewe,ila ndio hivyo hayo masharti mengine ndio hapo chacha!!!

Ahsante kwa kuona mbali.
 
Swali lako zuri sana, natafuta mke? sasa kama kuna wake wa kiume? inabidi unijuze, are you interested kuwa mke wa kiume?

Kama uko interested na utakubali masharti yangu niko tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom