Niko hapa,
Wewe ci umeshaelewa au?
Ukikosa usijinyonge tu maana watu wa iringa bhana
Sasa kama unaomba msaada halafu hutaki kutujibu, kwa nini umeleta uzi kwenye public forum? Ungekutana na mmoja wao ukampa barua mkamalizana.
Unapokataa kunijibu, una hakika gani kwamba mjukuu wangu mmoja haweza kukufaaa?
Ucijali mkuu mbz wapo kibao na kuku!
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume nimeajiriwa na kampuni ya kifedha hapa DSM, Nipo serious nahitaji mke wa kuowa, mwenye sifa zifuatazo awe mweusi, mnene wa Kati na Urefu wa wastani, awe mkiristo na umri Kati ya miaka 24 hadi 27 na awe tayali kwenda kupima kabla ya jambo lolote!!!
Mbona umekwepa kutaja na mbwa we si wa iringa bwana.
Nenda kijijini kwenu wa humu utapata BP bure utampata used zaidi U weema Chepe
Uandishi wako umenikumbusha demu wangu mmoja alikuwa anaandika kama wewe "towa badala ya toa, owa badala oa" ambae niliamua kumpiga chini kutokana na kutokujua kwake kuandika vizuri.
Basi kila la kheriSerious!!!!