BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Wa kuoa na Wa kumchezea.
"Mke"? afu wa kuchezea...okey...
hebu chek pm zako hakuna new msg hapo?
Wa kuoa na Wa kumchezea.
Kaunga all this will be spoken kwa huyo atakayekuwa tayari kuwa nami kuyaweka hapa kwa sasa haitasaidia kitu chochote ndio maana nimeweka wazi kuwa this is preliminary stage baada ya hapo kuna hatua nyingi kwenye mchakato mzima.
Wa kuoa na Wa kumchezea.
mshuwa weka cv yako kwanza hata mimi nataka mume sitaki wa kuchezea
There u go girl! LOL
cv kwanza pm system yangu ina matatizo ndo invisible anarekebisha mtamboThere u go girl! LOL
basi niforwadiePM please huk ndio CV zitakoelezwa kwa aliye serious
basi niforwadie
nimeshakuforwadia ulichokihitaji kama kweli were you serious ila wandugu naomba mnielewe nimeona post nyingi sana za kutafuta mara mpenzi mara kipozeo mara uchumba mara kuolewa kwa hiya yawezekana hii imeshaharibu credibility ya love connect.
Kwa upande wangu sijaja humu kumenjoy mtu au kutest mtu kwa kutumia keyboard za simu au computer na nahitaji mawasiliano kwa walio serious tu na wawe wadada tu....Wakaka kwa ushauri tu
Na mimi nataka lakini i'm hesitant, sababu umri na dini ni sawa lakini vigezo vingine hukuweka sawa. Should i procceed regardless...
mimi nina show room ya wasichana wa kuoa ni PM namba yako uje uchague you might find one suitable for you.
Mimi ni Mshuwa na siyo mshua dada yanguuu......samahani kama nitakuwa nimechanganya jinsia...Wewe ni mshua kweli au ni jina tu? Lol
Mimi ni Mshuwa na siyo mshua dada yanguuu......samahani kama nitakuwa nimechanganya jinsia...
ila unakaribisha kwenye ombi langu kama ni she
Huyu yuko siriasi.....CV yako
Kumbe single wako humu?mshuwa weka cv yako kwanza hata mimi nataka mume sitaki wa kuchezea