Natafuta Mke wa kuoa!!!

Kaunga all this will be spoken kwa huyo atakayekuwa tayari kuwa nami kuyaweka hapa kwa sasa haitasaidia kitu chochote ndio maana nimeweka wazi kuwa this is preliminary stage baada ya hapo kuna hatua nyingi kwenye mchakato mzima.

All the best bro!
Kina dada, mshuwa looks serious; so it won't hurt trying if u don't involve ur heart at first!
 
Wa kuoa na Wa kumchezea.

King Kong III naamini kuwa mwili wa mwanamke si uwanja wa aina yoyote ya mchezo hivyo nisingependa kubet sana na lugha uliyoitumia inawezekana kuna mahali inatumika zaidi kuwa wanawake wanaweza kuchezewa...
 
mshuwa weka cv yako kwanza hata mimi nataka mume sitaki wa kuchezea
 
basi niforwadie

nimeshakuforwadia ulichokihitaji kama kweli were you serious ila wandugu naomba mnielewe nimeona post nyingi sana za kutafuta mara mpenzi mara kipozeo mara uchumba mara kuolewa kwa hiya yawezekana hii imeshaharibu credibility ya love connect.

Kwa upande wangu sijaja humu kumenjoy mtu au kutest mtu kwa kutumia keyboard za simu au computer na nahitaji mawasiliano kwa walio serious tu na wawe wadada tu....Wakaka kwa ushauri tu
 
Na mimi nataka lakini i'm hesitant, sababu umri na dini ni sawa lakini vigezo vingine hukuweka sawa. Should i procceed regardless...
 
mimi nina show room ya wasichana wa kuoa ni PM namba yako uje uchague you might find one suitable for you.
 
mimi nina show room ya wasichana wa kuoa ni PM namba yako uje uchague you might find one suitable for you.

mhhhhhhhhhh show room..imported ladies au wazawa....ready made au chinised ladies.......kaka haya mambo hayahitaji artificialised na sitaki wakupasuana vichwa wa joly club,corner bar, les vegas...siwezi kununua tekiler kila siku na kwenda out mara bilcan,maisha club,mzalendo pub mara msasani ,mara sansiro sijui...am not of that type pia sita wadada wa type hiyo na kama ndio hao waliomo humu iam sorry for that brothers and sisters....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom