True Man11
Senior Member
- Oct 14, 2022
- 109
- 156
- Thread starter
-
- #41
Asante sanaMungu akupe haja ya moyo wako.
Naomba nisaidie connection yake, pleaseNina Dogo ni mzuri Sana, Tabia njema, mchapa kazi, msafi, Hana mambo mengi kabisa yaani Yule Dogo asingekuwa Ndugu wa Mke wangu chaap ningechukua jiko
Naogopa usije kuja kumtesa wewe Una miaka 38, ulikuwa wapi mpaka Leo? Inaleta mashakaNaomba nisaidie connection yake, please
sawa kama una mashaka, kuoa ni uamuzi sio umriNaogopa usije kuja kumtesa wewe Una miaka 38, ulikuwa wapi mpaka Leo? Inaleta mashaka
hao wote huko ndiyo hawa ambao wapo jf na pengine popote,Huko unapokaa hakuna wanawake mpaka uje kutafuta mitandaoni? Toka out nenda restaurants nzuri, safiri, hudhuria hizi marathon n.k utakutana na unayemtaka! Kiufupi zoea kutoka usijifungie ndani kama unatamia mayai! Goodluck!
Utapigwa na kitu kizito endelea kutafuta mke mitandaoni shauri yakohao wote huko ndiyo hawa ambao wapo jf na pengine popote,
picha profileNdoa haitaki akili nyingi
Afu weka hapa na.picha tuone tatizo liko kwa nani
Upo vizuri afu mbn watoto hawakutaki dah😹picha profile
Kwa umri wa mtoa mada nadhani ni sawa, ila asiwe wa kiumeVipi aliyezaa mtoto m1? Anafaa pia?