Ndoa ya upako2019
Member
- Sep 25, 2017
- 10
- 16
Huyu ni wewe?Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani.
Samahani kwa wazo langu hili .
Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote.
Sifa zangu
Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke kwaajili ya maishaendelevu.kariu pm au piga nambahii
.0610622837 kwa mawasiliana zaidi
Mbona ni yeye, unataka kusemaje kwa huyu mTabora mkuu?Huyu ni wewe?
Miaka 7 anatafuta mwanamke. Hajapata tu.Mbona ni yeye, unataka kusemaje kwa huyu mTabora mkuu?
Mwaka mmoja kabla yaani 2017 alijiita BenjaminHuyu ni wewe?
Ni reforms no electionHabari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani.
Samahani kwa wazo langu hili .
Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote.
Sifa zangu
Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke kwaajili ya maishaendelevu.kariu pm au piga nambahii
.0610622837 kwa mawasiliana zaidi
Sasa huku si kufukua makaburi dhahiri kabisa mkuu?Mwaka mmoja kabla yaani 2017 alijiita Benjamin
Mume mwema anatoka kwa bwana
Hellow, Naitwa Benjamini Kaswagula, naishi Bagamoyo, umri wangu ni miaka 34, mkristu, natafuta rafiki wakike ambaye baadaye tutaoana mwaka 2019/3/25. Lengo kubwa kua na muda mwingi wa kufahamiana, ambapo yapo mambo mbalimbali ya kufanya pamoja tukiwa ni marafiki wenye malengo ya kuoana...www.jamiiforums.com
Wengine tumejipa majukumu ya kufufua makaburiSasa huku si kufukua makaburi dhahiri kabisa mkuu?
Na lengo la mtu kama huyu, kurudia rudia mada hiyo hiyo kwa muda mrefu na kwa majina tofauti anakuwa na maana gani huyu!
Mkuu nakupongeza sana, kupekua hadi kujua jina la zamani alilolitumia tapeli siyo jambo dogo isee!Wengine tumejipa majukumu ya kufufua makaburi
Habari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani.
Samahani kwa wazo langu hili .
Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote.
Sifa zangu
Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke kwaajili ya maishaendelevu.kariu pm au piga nambahii
.0610622837 kwa mawasiliana zaidi
Nami natafuta mke wa maisha yanguHabari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani.
Samahani kwa wazo langu hili .
Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote.
Sifa zangu
Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke kwaajili ya maishaendelevu.kariu pm au piga nambahii
.0610622837 kwa mawasiliana zaidi
😂😆🤣🤣🤣🤣Natafuta mke wakuoa mwenye utayari wakuitwa mke
Habari Jina - Brighton Umri - 39 Urefu - 5.5ft Dini - Mkristo Damu - group o Pombe- sinywi Rangi- maji ya kunde Kazi- Nimejiajiri Naishi- Nyanda za juu kusini Maono/ndoto - nikukua kimaisha Sofa za mwanamke naye mtaka. Umri- 35nakuendelea Kabila - lolote Dini - mkristu Kazi - yeyote...www.jamiiforums.com
Mkuu post 3 mara una miaka 39 mara 37 mara 38.
Mara unaitwa Benja, Brighton n.k mara upo Tabora mara nyanda za juu kusini.
Mtafuto mwema.