Ninayo......kwani hofu ya Mungu unayo!?.....
Pia achunge pia maanaMkuu Wasubiri Pm Utakimbia Weweπ
Kila La Kheri Mkuu
Haya mambo haya ππππππππNgoja ije ID ya kiume huko pm
Wewe unafuga ndevu kama mzee wa kiarabu, ushakosa sifaπ
Mambo Yalikwenda Sivyo Nini Ndugu Yangu?Pia achunge pia maana
πππππππ
Nusu niangukie pua mimi...
Tumpe Mlinzi Fake P nini π€Kila la kheri mkuu
Kuna mmoja alisema anatafuta mume....Mambo Yalikwenda Sivyo Nini Ndugu Yangu?
.....mmh!!....Ninayo
Nimekuzingua tu!πUmenifanya nicheke kwa sauti π...
Sasa ndevu si zinapunguzwa tu, si wakati wote zinakuwa vile ulivyoona...
πππNdio ndio na sisi tumegoma kuanza 1-0Mama wa mtoto yuko wapi dear, vikao vyote vimesisitiza kuona tuta kwanza.....
Kazi Kweli Kweli Njaa Mbaya SanaKuna mmoja alisema anatafuta mume....
Kwenda pm kumbe ni njemba et ππππππππ
Usigune sana usije kujamba.....mmh!!....
Nimekuzingua tu!π
Subiri nikufanyie interview kwanza
Una watoto wangapi, wewe ni single father?
Kwamba Fake P wetu mbabe π€π€£Tatizo kabilaπ