miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
naishi kimkataba zaidi ndom kila kona ya nyumba....
Nadhani enviromental impact assessment inahitajika katika hiyo nyumba
naishi kimkataba zaidi ndom kila kona ya nyumba....
bila ya sisi unaotuita WAPUMBAVU akiwemo mama yako alokuzaa wala usingeliona jua la dunia
Duuh... Akifanya haya yote lazima aombe kurenew contract
mimi hapa lakini i want to know ...
kama utaweza timiza hayo lete mkataba hapa......
- nataka kujua unaingiza kipato kiasi gani kwa mwezi?
- kama utaweza pale mtoto akitokea uwe 100% responsible kwa mtoto na mimi?
- lazima ujiandae kujenga nyumba atakayoishi mwanao na usafiri wake...(mtoto atakuwa bosi wangu)
- uwe tayari kufungua account ya mtoto ambayo itakuwa tofauti na matumizi yake ya kila siku..
rafiki achana naye huyu kwani ajui alisemalo
hajui kuwa yeye alitokana na mwanamke kama angeminywa
asingeliona jua la dunia hii watu kama hawa kwnn mnasumbuka nao?
Mwanamke wa hivyo ni "adimu mnoo",we oa dume tu!
"Nimegundua kuwa wanawake wengi ni STUPID na akili zao zina deteriorate with time"...
..sounds so bitter buddy!!
Mm apa.
Kweli ni kumpuuza tu.
nioe mie, shart ni moja tu...hakuna kuzaa!!!!!!
Kweli wewe wewe useless dume,mwanamke waivyo umemuumba mwenyewe au? mxuuuu go to hell!
mimi hapa lakini i want to know ...
kama utaweza timiza hayo lete mkataba hapa......
- nataka kujua unaingiza kipato kiasi gani kwa mwezi?
- kama utaweza pale mtoto akitokea uwe 100% responsible kwa mtoto na mimi?
- lazima ujiandae kujenga nyumba atakayoishi mwanao na usafiri wake...(mtoto atakuwa bosi wangu)
- uwe tayari kufungua account ya mtoto ambayo itakuwa tofauti na matumizi yake ya kila siku..
utaweza kumlipa