Natafuta mke tujenge familia

Hiviii...!!!...anahitaji nyumba au mke??
Kwakifupi nahitaji mwanamke ambae sio tegemezi. Ambae tutasaidiana majukum yakujenga familia. Ndiomana kama umenielewa vizuri nime egemea sana kwawale wanawake ambao tayari walisha ona maisha. Wanajua maisha nikitu gani. Sitaki sister doo
 
jamaa anataka nyumba babu ,na salary slip iliyoshiba .mimi mtu wa mizinga sasa mimi na yeye wapi na wapi mimi natafuta mtu wa kuhamia kwake huyu nae anataka kuhamia tutaishia kulazana stend tu maana ni kuviziana tu hapa
usiogope mama njoo PM tuyajenge.
 
Kwakifupi nahitaji mwanamke ambae sio tegemezi. Ambae tutasaidiana majukum yakujenga familia. Ndiomana kama umenielewa vizuri nime egemea sana kwawale wanawake ambao tayari walisha ona maisha. Wanajua maisha nikitu gani. Sitaki sister doo
BRO, utegemezi kwa mwanamke upo tu. Wanakuwaga na kipato lakini tunatoa huduma ... ukianza mapema kwamba asikutegemee, basi usioe, maana wote wanategemea waume zao.... ndo maana asipokutegemea utaitwa Mariooo....

AU NIKUULIZE UNAFAHAMU KWA NINI KUNA NENO MARIOO, SHUGAMAMI na SHUGADADI.?? sababu kubwa ni kwamba kuna mahusiano yasiyo ya kawaida kati ya hao wawili. Na ukawaida unaokosekana upo kwenye umri na nani anatoa huduma kwa mwenzie

NB: KAMA UNAKWEPA MAJUKUMU WATANGAZIE
 
Hayo mlijiwekea tu, sijuwi shuga many sijui marioo, izo propaganda tu. Ila sithani kama mke ulie muowa kwandoa hadi KANISANI mlikwenda japo atakua anakuzidi kipato, kesho watu wakuite marioo sithani. Alafu siokama unamtegemea hapana Bali nikitendo tu chakugawa majukum. HAKISAWA
 
Kwakifupi nahitaji mwanamke ambae sio tegemezi. Ambae tutasaidiana majukum yakujenga familia. Ndiomana kama umenielewa vizuri nime egemea sana kwawale wanawake ambao tayari walisha ona maisha. Wanajua maisha nikitu gani. Sitaki sister doo
mimi ni full charged tegemezi yaani kama nakufaa sema
 
Kwakifupi nahitaji mwanamke ambae sio tegemezi. Ambae tutasaidiana majukum yakujenga familia. Ndiomana kama umenielewa vizuri nime egemea sana kwawale wanawake ambao tayari walisha ona maisha. Wanajua maisha nikitu gani. Sitaki sister doo
 
BRO, utegemezi kwa mwanamke upo tu. Wanakuwaga na kipato lakini tunatoa huduma ... ukianza mapema kwamba asikutegemee, basi usioe, maana wote wanategemea waume zao.... ndo maana asipokutegemea utaitwa Mariooo....

AU NIKUULIZE UNAFAHAMU KWA NINI KUNA NENO MARIOO, SHUGAMAMI na SHUGADADI.?? sababu kubwa ni kwamba kuna mahusiano yasiyo ya kawaida kati ya hao wawili. Na ukawaida unaokosekana upo kwenye umri na nani anatoa huduma kwa mwenzie

NB: KAMA UNAKWEPA MAJUKUMU WATANGAZIE
Asijidanganye. Hata akioa waziri, kuwajibika kumlisha na kumtunza kupo palepale.
 
Back
Top Bottom