Umetisha dadaAcha hizo banaa sijachamba nimeshauri tuu![]()
Umetisha dadaAcha hizo banaa sijachamba nimeshauri tuu![]()
Hamna vigezo vigum hapo mkuu, alafu tukumbuke dunia yasasa tunakwenda haki sawa.Duuuuu cyo kwa vigezo hvyo kiongoz
Maisha yasasa tunakwenda hakisawa, nilazima nimtafute ambae kidogo tukosawa kwakipato na mengine madogo madogo. Ila iyo yakujenga sio lazima sana. Karibusasa unaitaji nyumba nyingine ya nini?
Hayo nimawazo yako wewwazo zuri,awe na yake coz hiyo umemjengea mwanao.Ubaguzi mapemaaaaa
Hahahaha Subir watakuja me cna hta kigezo kimoja mkuuHamna vigezo vigum hapo mkuu, alafu tukumbuke dunia yasasa tunakwenda haki sawa.
Masharti mengine sio lazima yawepo. Kama kua nanyumba. Ila manaangu nikutaka kujiepusha namizigo isiyo julikana ilipotoka.Naona vigezo na masharti kuzingatiwa jamani
Mkuu naona unaitafuta 07934455.... janja sana wewe. Kitu bibooooHamna usihofu c unajua najaribu kuchat kablA mwaka haujaisha kama VP heri ya mwaka mpya
Mi napita tu
Asante kwamchango.Hahahaha Subir watakuja me cna hta kigezo kimoja mkuu
mimi sikuitaji kabisa mkuu sipendi dharauMaisha yasasa tunakwenda hakisawa, nilazima nimtafute ambae kidogo tukosawa kwakipato na mengine madogo madogo. Ila iyo yakujenga sio lazima sana. Karibu
Wapi umeoneshwa dharau mama.mimi sikuitaji kabisa mkuu sipendi dharau

Kunajirani yangu hapa mkuu, sifa zote hizo anazo ila ana f*stula sugu sana haitibiki! Kashakimbiwa na wanaume wanne, xo kama atakufaa, nicheki PM, nikupe contact zake maana nae anatafta pakupumzikia.Abari zenu bandugu... heri ya mwaka mpya kwenu woote. Nilipenda kuwashirikisha haya labda naweza nikabahati. Namtafuta mwanamke yeyote ambae labda kachelewa kuolewa ao aliwai kuolewa akaachika. vigezo miaka kuanzia 25 awe tayari amejenga NYUMBA yake binafsi, awe nakazi nzuri, kaajiriwa ao amejiajiri, awena Mtoto 1, awena elimu isiopungia form4, awe mcha Mungu... uzuri wauso, shepu nzuri siangalii... Umri asizidi miaka 45 na mwisho kabisa awetayari kunizalia watoto zaidi yawa 2. mimi nimeajiriwa Vodacom Nina miaka 32, Nina Mtoto 1, kwayule ambae yupo tayari anaweza akani pm, ilituyajenge vizuri. Karibuni
awe tayari amejenga NYUMBA yake binafsi, awe nakazi nzuri, kaajiriwa ao amejiajiri,Wapi umeoneshwa dharau mama.![]()
![]()
awe tayari amejenga NYUMBA yake binafsi, awe nakazi nzuri, kaajiriwa ao amejiajiri,
sasa iyo ni dharau mama? Siobana!!! Nivigezo tu nimeweka pia havina umuhim saaana kama nitapata yule ambae anaitaji.Duuuh, kakimbiwa nawa 4, Mimi nitaweza kweli?? Iyo cheche.Kunajirani yangu hapa mkuu, sifa zote hizo anazo ila ana f*stula sugu sana haitibiki! Kashakimbiwa na wanaume wanne, xo kama atakufaa, nicheki PM, nikupe contact zake maana nae anatafta pakupumzikia.
Ila kwamtazamo wako unahisi atakua na umrigani mkuu??Kunajirani yangu hapa mkuu, sifa zote hizo anazo ila ana f*stula sugu sana haitibiki! Kashakimbiwa na wanaume wanne, xo kama atakufaa, nicheki PM, nikupe contact zake maana nae anatafta pakupumzikia.
Hiviii...!!!...anahitaji nyumba au mke??sasa unaitaji nyumba nyingine ya nini?
mimi maskini bado bna japo faru nakutaka chezea faru wewe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasa iyo ni dharau mama? Siobana!!! Nivigezo tu nimeweka pia havina umuhim saaana kama nitapata yule ambae anaitaji.
Kwa mara ya kwanza Miss Natafuta amekutana na zali la mentali!Kama vigezo vingine umekamilika, nakweli unamaanisha sawa hamna shida. Tuyajenge mapema.
ahahaaaa hata simuelewi .huyu ndani atatoa hela kweli?Hiviii...!!!...anahitaji nyumba au mke??
Hawezi toa... maana kwake wenye nyumba wana helaahahaaaa hata simuelewi .huyu ndani atatoa hela kweli?