mchumba una miliki nini tuanze maisha??!!!
gx 100
Mim namiliki moyo safi na upendo wa dhati, that's all i can say
Weka picha
Kwa kuokoa mda natumai wote msomao uzi huu mko poa,
Jioni hii najitokeza tena kwa mara ya pili kutafuta mchumba wa kuwa mke na si girlfriend or otherwise,
Hii inakuja baada ya kupitia hard time ya relationship flani ambayo nlipata hapa hapa JF suluhu yake.
Wasifu wangu kwa kifupi:
Umei wangu ni 27
Mwembamba kiasi
Employed
Current living alone:
Elimu BSc.in........
Haya ni kwa kifupi tu kuhusu mim
Back kwa anayetafutwa
Black/ White but slim,
Not short
Elimu kuanzia 4m4 si mbaya lastly awe
Well determined.
Ni pm kama waona unafit ama mim nafiti kwako ili nkupe mawasiliano zaidi
Hujambo Evelyn?
Wifi yako leo umemuona?
sijambo...nimemuona yule white, yule black beauty kaadimika hata yule mwingine nae simuoni siku hizi teh teh
lazma upigwe vichwa leo....
Hii ni ID ya 5 kati ya zile saba?
Mkuu kuna uzi ulipita juzi hapa unaelezea marafiki w JF, hasa wanaotafuta wachumba MMU kuwa wana IDs lukuki. Ukatolewa mfano kuna mdau alikuwa anatafuta mke "shemale", yeye ana ID saba nyingine za kike. Sasa ndo nimemuuliza huyu bwana hii ni ID yake ya 5 ama?hivi mnatambuaje mtu akiwa na zaidi ya id 5 maana wewe umeshafahamu hebu nami nifahamishe bestito
Mim namiliki moyo safi na upendo wa dhati, that's all i can say
kama unavyo vyote hivyo na huna pesa, ni sawa na kumiliki upara bila elimu.
mkuu kuna uzi ulipita juzi hapa unaelezea marafiki w jf, hasa wanaotafuta wachumba mmu kuwa wana ids lukuki. Ukatolewa mfano kuna mdau alikuwa anatafuta mke "shemale", yeye ana id saba nyingine za kike. Sasa ndo nimemuuliza huyu bwana hii ni id yake ya 5 ama?
duh! mambo ya mujini hayo...fungua wallet upate papuchi
Utajiju.
Mwanamke pesa, maua kawape nyuki.
hahahaha aya mie nina kama laki tatu nataka uje unipe mautamu