Natafuta mke, nina miaka 26

mtoa mada nijibu hapa bila wazazi kukumbusha wewe ulikua na mpango/ratiba gani kuhusu kuoa?

uo mpango ndo uufate kama utaki kupotea!
Mustakabhali wangu kabla ya wazazi kutoa ushauri,ilikuwa nikuendelea kuishi bila mwenza bila familia bila ya kutambua hatima ya ndoa ni lini! Lakini baada ya wazazi kuwasilisha mawazo yao chanya,nikaona Ni vyema kubadili mwelekeo.Na sio kupata mwanamke ilimradi bali ambaye atanisaidia majukumu.maana Nina project nyingi sana za kikazi maana milango imefunguliwa Nchi kuingia uchumi wa Kati.
 
🤣😂😅🤣😂😅🤣😅😂🤣🤣🤣🤣mkuu umenifurahisha kweli
Sema mkuu me ni jiko ila bado sijavutwa aisee
Mkuu unasubiri Nini Sasa au na wewe unataka ufikishe miaka 40 ndo uvutwe mkuu!?😂
 
Ahhh u never know! Ila huu mchakato wa kutafuta wife ulikuwa rahisi Sana enzi za mababu.
saiv ni mgumu Kila mtu mjuaji mkuu
Sasa mkuu we ndo unatafuta au kwa zile pisi ulizonazo ndo unataka uchague 1.
 
Ukiona watoto inatosha, wajukuu ni watoto wa watoto wako nao wayaonwa na wenyewe
Nataka nione na kitukuu ikiwezekana ndio nisime kazi yangu dunia imekwisha! Zamani ilikuwa Raha watu walikua wanaishi miaka 800+ siku hizi kufikisha 60 yenyewe umepitia tundu la sindano!
 
Back
Top Bottom