sio kila mwanamke ni mkee!!Mi huwa inanifikirisha guys.inakuwaje mwanaume uko kikamilifu unapata tabu hivi kupata mwenza?
Labda tuseme wengine tuna changamoto...
Au mnachagua sana?
Mna aibu?
Anyway Mungu akupe hitaji la moyo wako kama ni genuine
Hapo mwisho nimeelewa..nawe ukawe mume mwema.sio kila mwanamke ni mkee!!
wenza tunapata na wanapatikana easy kabisa, ila mke ni mkeeee
Sifa zote dada anazo ila sasa mimi nanufaika vipi shemeji ?Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu.
Mimi ni mwanaume wa miaka 36
Mrefu - maji ya kunde
Sio mnene sio mwembamba
Naishi dar es salaam
Nafanya kazi na biashara
Mkristo / Lutheran
Mke nayemtafuta:
Umri 23 - 33
Asiwe mnene wala mwembamba saana
Awe mrefu kiasi (asiwe mfupi)
Kabila lolote,
Akiwa mweupe kiasi nitafurahi zaidi (ila sio lazima hata maji ya kunde + chocolate colour sawaa)
awe mtanashati, mzurii na nayejitambua.
Naomba PM kwa aliyekuwa serious tu, au kama una ndugu ama rafiki naomba masaada wa connection.
kama atakuwa nje ya mkoa wa dar es salaam hata iwe wa kijijini ni sawa ila awe tayari kuja dar kuonana baada ya mawasiliano.
Asanteni saana
Naamini nitakuwa hivyoHapo mwisho nimeelewa..nawe ukawe mume mwema.
mahari utapata % shemejii,Sifa zote dada anazo ila sasa mimi nanufaika vipi shemeji ?
Asante sana kwa ushahuri wako mzuri sana.,1. Unapohitaji mke kwa uwazi hiv mwamba, jitahidi kumuomba sana kwa imani yako upate aliyemwema, maana hapa unaweza pata mawakala wa imani mbaya, mikosi, mabalaa, gen z pamoja na laana zote za familia anayotoka huyo mtu.
2. Funga na kuomba kwa imani yako
3. Jitahidi kuoa familia au ukoo ambao una historia nao nzuri maana unaweza oa familia ambazo zina mikataba ya kuzimu
4. Jitahidi sana kuwashirikisha wazazi pindi unapo tafuta mke, kumbuka huyo si mpenzi bali ni mke (kama hauna wazazi basi hata ndugu wa karibu wenye umri mkubwa maana hawa wanaona mbali sana)
5. SIKUTISHI ISIPOKUWA KAMA HAUTAOMBA KWA IMANI YAKO, NAKUONA UKITAPELIWA KINDOA NA KUISHIA KUKATA TAMAA AU KUDUMBUKIA PABAYA SANA, MUOMBE SANA MUNGU WAKO AU NGUVU ZAKO KWA IMANI KALI SANA"
Niko serious ,yaani mimi kwenye mahali siwezi itwa na wazee wa kwetu wamenidharau sana na hizi pombe zangu ,mimi nataka kama unakubali unikatie pande langu chap alafu mambo ya mahali mtajuana na hivyo vizee vyetu ila niwe nimekula ,sheria siri tu shemeji .mahari utapata % shemejii,
ila kama kweli upo serious naomba ni PM
Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu.
Mimi ni mwanaume wa miaka 36
Mrefu - maji ya kunde
Sio mnene sio mwembamba
Naishi dar es salaam
Nafanya kazi na biashara
Mkristo / Lutheran
Mke nayemtafuta:
Umri 23 - 33
Asiwe mnene wala mwembamba saana
Awe mrefu kiasi (asiwe mfupi)
Kabila lolote,
Akiwa mweupe kiasi nitafurahi zaidi (ila sio lazima hata maji ya kunde + chocolate colour sawaa)
awe mtanashati, mzurii na nayejitambua.
Naomba PM kwa aliyekuwa serious tu, au kama una ndugu ama rafiki naomba masaada wa connection.
kama atakuwa nje ya mkoa wa dar es salaam hata iwe wa kijijini ni sawa ila awe tayari kuja dar kuonana baada ya mawasiliano.
Asanteni saana
Nilivyo mnene mweusi 🌚
Naam!Nilivyo
mnene mweusi
Bro anataka mwanamke mrefu anayejitambua😆 guess whattt!!😁Naam!
Madini yanapatikana kwenye miamba migumu na majabali
sawa kabisa shemejiii, naomba nitumie namba yako DM tuongee seriousNiko serious ,yaani mimi kwenye mahali siwezi itwa na wazee wa kwetu wamenidharau sana na hizi pombe zangu ,mimi nataka kama unakubali unikatie pande langu chap alafu mambo ya mahali mtajuana na hivyo vizee vyetu ila niwe nimekula ,sheria siri tu shemeji .
Huyu naona anataka kuozea hapa nyumbani .
Ndiyo unamtafutia humu jf? Jaribu na tinder mkuusio kila mwanamke ni mkee!!
wenza tunapata na wanapatikana easy kabisa, ila mke ni mkeeee
kama ana vigezo vyote sawaaaaa!!Singo maza utaki???