Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,460
seen...~Be first to reply~
jina lenyewe NYONG'O.. siangalii hela wala umaarufu.. kama anafiti katika hizo sifa hapo anafaa.. ila asiwe na UPARAvp lupita ny'ongo hafai??
kaole ya Bagamoyo?Nenda kaole
Tena balozi wa nyumba kumi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unatafuta mke au balozi??
mke kaka.... balozi mie wa niniUnatafuta mke au balozi??
addition point (awe na mwili mzuri sitaki kuchepuka mimi)Sifa ya nyongeza awe na chura.
Kila laheri shem
Bora uwe mkweli, sio uoe yeyote baadae uanze kusumbua wake za wenzio... Madalali tunaruhusiwa kukutafutia mke?addition point (awe na mwili mzuri sitaki kuchepuka mimi)
naona hapo itifaki imezingatiwa kabisa....... bila chura haolewi mtu hapa
ruksa.. ila wasitoke nje ya hizo sifa hapo juu na kama unazo hata wewe sio mbaya tuka negotiateBora uwe mkweli, sio uoe yeyote baadae uanze kusumbua wake za wenzio... Madalali tunaruhusiwa kukutafutia mke?
Hahaaaa hiyo ya udalali nimeipendaBora uwe mkweli, sio uoe yeyote baadae uanze kusumbua wake za wenzio... Madalali tunaruhusiwa kukutafutia mke?
ambaye hafuati maagizo ya mwenyezi mungu,muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo.Muislam mchafu ndo yukoje ?
anha.. umbo awe mrefu maana mie ni mrefu pia.. alaf asiwe BONGE nyanya au mwembamba sana,,, natak awe na CHURA.... angalizo.. CHURA ausikeHujasema umbo unalotaka