Natafuta mke mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mke mwema

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee wa fund, Sep 21, 2012.

 1. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanaume(32).Mwajiriwa wa serikalini.Ni mweusi,mnene kiasi,mcha mungu.Napendelea mwanamke mwenye ajira serikalini.Mkristo,mcha mungu,umri(26-31).Tafadhali nina maanisha.Mwenye utayari ani PM nitampa namba ya simu yangu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nakuja huko PM, ila sijaajiriwa serikalini
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  all the best
   
 4. p

  pretty n JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya kila la kheri na mungu akusaidie upate mke mwema...........
   
 5. atug

  atug JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  best wishes
   
 6. m

  mimi ai Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikalini kuna nini?
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahaa serikalini kuna marupurupu na kusaidika kujiendeleza kielemu..
   
 8. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  du! vigezo vingine!! sasa akiwa serikalin sasa,harafu baadae ukimuoa hakaachishwa kazin serikalin,na wewe unampiga chini,harafu unatafuta mwingine wa serikalin,wasichana mtafakari harafu mchukue hatua
   
 9. K

  KENET JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hivi unapopata mwanamke kwenye NET Je mnaweza kuja kuoana,au mnaishia kungonoana tu.
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mwanamume au mwanamke anatafutwa kokote bana..hayo mengine yapo tu..mnaweza kukutana kanisani still mkaishia kungonoana tu. Ngoja hizi net zitusaidie sie kizazi cha dot.com!
   
 11. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,384
  Likes Received: 10,477
  Trophy Points: 280
  Mke mwema anatoka kwa bwana na sio humu JF.
  Wewe unatabia mbaya maana wanawake wote wanaokuzunguka wanakujua tabia yako ndio maana wamekukataa.
  Nenda kawaombe msamaha kati ya hao utapata kimwana safiiiii.
   
 12. M

  Mundu JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kuna dada mmoja alikuwa anatafuta MUME hapa jana..angalia nyuzi za jana...Nadhani mtafaana. Then endeleeni kivyenu. Kila la Kheri!!

  Anaitwa Mama Samwel...
   
 13. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mke mwema hutoka kwa Bwana. Muombe utakupatia, lakini ukimtafutia humu JF mnh! sijui?
   
 14. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mh, sasa si ma house girl ndo umetutosa?
   
 15. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hapo chacha!
   
 16. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyu bwana huyu..............hakyanani! Mie hata chichemi.........:wacko:
   
 17. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahahaaaa.......maisha ni kuchagua.........umenichekesha sana WALIMWEUSI
   
 18. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  NANI KAKUDANGANYA KWAMBA MKE ANAPATIKANA Jamii Forums
   
 19. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe ni PM tupeane mawasiliano.
   
 20. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna mengi mazuri mkuu.Fuatilia utafahamu.
   
Loading...