Natafuta mke mwema

Hilo jina lako litasababisha iwe vigumu kupata mke mwema. Ungejiita mtumishi wa Mungu or something...
Just kidding, kila la heri mkuu...
 
Unene wako umekuangusha ningekuPM hamkawii kuwa less efficience alafu tuanze kusumbuana.
 
Mimi ninashida,lakini nashangaa baadhi ya members wa JF Wananikashifu.Mfano tangu nijiunge na JF sijawahi kusoma swalikama"unadhani mke hupatikana JF?."tafadhali jamani tulitumie vizuri hili jukwaa.
 
Ngoja niku PM maana navyopenda wanaume weusi, af wanaofanya kazi serikalini... Ngoja nichangamkie bahati..
 
kwani wewe wadhani kazi ya hili jukwaa ni nini?Are you a Great Thinker?.

Use your common sense man, mke hatafutwi kwenye mtandao tafuta mwenyewe au omba wazee wa kwenu wakutafuitie kwa kuwapa vigezo unavyohitaji
 
Kwanin usimchukue mmoja wa marafik zako wa kike au wote washaolewa usije ukaoa jini bure mambo ya net haya ogopa s6e times
 
kwani wewe wadhani kazi ya hili jukwaa ni nini?Are you a Great Thinker?.

some people are always there to discourage others,me naamini utampata mwenzio,mbona tunaona sredi nyingi tu humu jf za watu wakishukuru kwa kupata wenzi wao humu humu.zidi kumuomba Mungu atakusaidia ktk nia yako njema
 
Mimi ni mwanaume(32).Mwajiriwa wa serikalini.Ni mweusi,mnene kiasi,mcha mungu.Napendelea mwanamke mwenye ajira serikalini.Mkristo,mcha mungu,umri(26-31).Tafadhali nina maanisha.Mwenye utayari ani PM nitampa namba ya simu yangu.
Unampenda Mucha Mungu!!!? Mwambie huyo Mwenyezi Mungu akupe. Na ukimuomba kikweli atakupa kile kitakachokufaa maishani mwako na yeye aendelee kutukuzwa. Hizo sifa ulizozitaja nyingine ni za kibinadamu tu. Yaweza kukupa mweupe, njiti na mpenda ujasiliamali wala hana hata mpango wa ajira na akakutoa kimaisha na ukawa mwanaume mwenye raha kwenye maisha yako.
 
Use your common sense man, mke hatafutwi kwenye mtandao tafuta mwenyewe au omba wazee wa kwenu wakutafuitie kwa kuwapa vigezo unavyohitaji
Wasee waweza tafuta kisura asiye jua kusoma wala kuandika ili mradi awe mkulima hodari, kubeba mizigo mikubwa, salam kwa goti nk. Ushauri usiogope kujichanganya na wadada na kuongea nao maana wapo tele wenye sifa unazozitaka lakini hawapati wavulana wa kuchart nao.
 
Mimi ninashida,lakini nashangaa baadhi ya members wa JF Wananikashifu.Mfano tangu nijiunge na JF sijawahi kusoma swalikama"unadhani mke hupatikana JF?."tafadhali jamani tulitumie vizuri hili jukwaa.

Mzee wa fundi naweza nikwawa na sifa labda ulizozitaja hapo lakini ni kwanini umeamua kumtafuta mke huku na haukutumia njia nyingine? Mimi nina miaka 28 niko magotini naendelea kumuomba Mungu ila mimi sifanyi kazi serikalini nafanya kazi kwenye kampuni ya mtu binafsi je waweza nikubali hivi?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom