Natafuta mke mwema

Natafuta mke mwema

Premierleague

Senior Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
166
Reaction score
254
Wakuu (kinadada) najua imeandikwa sio vema kwa mwanamke au mwanaume kuishi peke yake maisha ya ukiwa ikiwa dunia Inawenza ambao mnaweza kushare kile kidogo mnachopata na kutengeneza paradiso ndogo hapa duniani hivyo basi nakuja mbele zenu kwenye jukwaa hili ambalo limejaa waungwana na watu wanaojitambua nikitafuta mwanamke wa kuishi nae mwenye sifa hizi Chache
1.Awe na umri kuanzia 28-33yrs
2.Mkiristo
3.Awe anaishi dar
4.Asiwe na mtoto zaidi ya 1.
5.Awe tayari kucheki afya
6.Asinywe pombe
Mengine tutawasiliana PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom