Umri wangu ni miaka 36 elimu yangu ni degree,kazi ni mhasibu serikalini.natafuta mke kabila lolote ambaye ni muislam mwenye elimu kuanzia form iv na ajira serikalini au kampuni.akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.
Aliye tayari aweke nambake ntampigia

1.Wewe mwenyewe ulishawahi kuoa?
2.kama ndiyo wanawake wangapi?
3.je bado upo nae/nao?
4.Kama hapana sababu za kuachana?
5.Kama huenda ni kifo, ugonjwa gani?
. ukia unataka kitu hasa kuanzisha mausiano ni vzr kua muwazi kidogo, wewe miaka 36 uliishije mkeo amekufa? km kafa kwa ugonjwa pia ni vzr ukasema chanzo cha kifo cha huyo mwenzio usije kua unataka wa kufa nae na km hukuwa nae kwa nn?