Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Eeh vzuri kabisa Intelligent businessman nadhani miaka ambayo dada angu anataka umeiona.Mie nataka mtu mzima wa kuanzia 40 48 sis😂😂😂!
Eeh vzuri kabisa Intelligent businessman nadhani miaka ambayo dada angu anataka umeiona.Mie nataka mtu mzima wa kuanzia 40 48 sis😂😂😂!
Sawa ntakutafutia, ila hata huyo mdogo wako mi sikuvitaka visa, Mbona sijawai gombana na boss Bantu LadyMie nataka mtu mzima wa kuanzia 40 48 sis😂😂😂!
Utanikumbuka, Kama dera la kuazimaHuyo hapana bado mdg sana
🙆🙆🙆🙆Utanikumbuka, Kama dera la kuazima
N kweli lkn ktk hili hapana Kwa kweliNever judge a book, by its cover.
KashesheAcha aulize vizur labda Tomboy je?