Natafuta mke, awe anakaa Arusha

Natafuta mke, awe anakaa Arusha

Ha haaa sasa jirani ngoja shemeji yako Nyani Ngabu aone unanipigia chepuo

Sasa hapo tu umepigiwa chepuo la kijirani na kunisemea juuuu... Sasa hilo chepuo lingekuwa langu si ningeuwawa mimi...??! Halafu jirani nyie wa kusemeana nyie nawaogopa.. mkikuta mtu haitwi amewavutia hata hamumsemei
 
Wapi mwambie aende A to Z kule kuna watoto wa kumwaga.

mwambie kijana aje nimpeleke Safina.........kule atatoka na lundo.........hebu muulize kama atapenda kuja na mimi........
 
Sasa hapo tu umepigiwa chepuo la kijirani na kunisemea juuuu... Sasa hilo chepuo lingekuwa langu si ningeuwawa mimi...??! Halafu jirani nyie wa kusemeana nyie nawaogopa.. mkikuta mtu haitwi amewavutia hata hamumsemei

Ha haa jirani mie sina simile,ukiniambia kitu mie mbio kusema. Hata ukinihonga nasema tu
 
( Effectiveness is measured by what happened because of what you did ) What do you mean please
 
YES .. this is the name which come to ma mind. The P. | what do this mean lol
 
Nna miaka 30, vipi nafaa au ndio ntakubemenda..?!
 
dah wa nyumbani kabisa, ningekuwa sijawahiwa ningewahi PM, ila ndo ivo nishachukuliwa.
mtoa mada usikate tamaa utapata ila kuwa makini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom