natafuta miwani za kuogelea

usijali nishapata ya kwangu kitu kipyaaaaaaaaaaa,ukiwa intersted na mimi naweza niikakuelekeza niliponunua ya kwangu ila sharti na wewe uninunulie,,,hihihihi

Even if u dont,nimenunua k/koo hyo hapo kwenye picha kwa just 5000 blv it o not.
 
umenikumbusha mambo mengi sana.
 
ninazo kama tatu rangi blue na white nitoe na hela ya monde tuu 10 000
 
Kuna duka linaitwa kichui boutique. Liko tegeta kibo complex, first floor. Wana miwani na swimming costumes za watoto na watu wazima. Plus size kama za Madame B na Maxence Melo zipo pia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…