heshima kwenu wakuu,kama kuna mtu anazo anuza ziwe used au mpya please nomba kujuzwa,au japo nielekezwe zinapatikana maduka gani hata nikiambiwa na bei pia haitakuwa mbaya,thanks, in advance
Mi huwa nikifika swimming pool kama sina hiyo makitu napiga mbizi kavukavu kwanza,nikizama mara tatu lazima niibuke na miwani huko chini ya maji na wala huwa siulizi imemvuka nani,naona naye kama ni mtaalamu wa maji atumie ujanja huo badala ya kufikiria kupoteza pesa...
yaani k/koo mwisho wa matatizo nimeipata hiyo miwani niliyokuwa naitafuta kwa udi na uvumba,tena kwa bei ya kutupa
atakayekuwa interseted nitamuelekeza,mzigo huo hapo!!!
usijali nishapata ya kwangu kitu kipyaaaaaaaaaaa,ukiwa intersted na mimi naweza niikakuelekeza niliponunua ya kwangu ila sharti na wewe uninunulie,,,hihihihi
yaani k/koo mwisho wa matatizo nimeipata hiyo miwani niliyokuwa naitafuta kwa udi na uvumba,tena kwa bei ya kutupa
atakayekuwa interseted nitamuelekeza,mzigo huo hapo!!! View attachment 96063