CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 157
nina wasiwasi kama TTSA wanauza miche ya matunda. nadhani wenyewe wamefocus zaidi kwenye mbegu za mbao.. ila hebu mtwangie huyu dada VAILET 0787387679 wa TTSA atajibu maswali yako
tafuta member wa JF aliyepo morogoro anaweza kukusaidia kununua na kukutumia then unamtumia pesa via M-Pesa,ila bora utumie bank account yake ,sometime mpesa huwa inamatatizo kibao(yamenikuta)
vipi ulimtwangiathanks,hata mimi nitamtwangia 🙂
yani mkuu umeniacha hoi hapa, toka 2011 mpaka leo?vipi ulimtwangia