zamkallytel
Member
- Jul 31, 2015
- 31
- 13
Ukisema crack unamaanisha mini?duu mkuu mm natumia crack tu pia kuunclock simu kama hiyo yako natumia crack
Sent from my SAMSUNG-SGH-I257 using JamiiForums mobile app
nck, avenger, z3x na nyingine nyingi.. nicheki 0717458447Natafuta miracle flashing box
Iwe na miracle key
Tsh:200,000/=
Pia kama una box yoyote ikopoa na unauza nicheki,763949447
Ana maanisha anatumia hiyo software ambayo ni ya wizi.Ukisema crack unamaanisha mini?
kwa 200,000 huwezi pata kwasababu miracle key hapo dar bei yake ni 130,000 huko duniani ni usd40Natafuta miracle flashing box
Iwe na miracle key
Tsh:200,000/=
Pia kama una box yoyote ikopoa na unauza nicheki,763949447
Na nck hapo mjin ina kias gan wadau
Naomba unielekeze duka lilipo tafadhari, mimi nipo Dar na ni mwenyeji370 mupya kabisa kwa shop
Nipm tuyajenge mkuuNatafuta miracle flashing box
Iwe na miracle key
Tsh:200,000/=
Pia kama una box yoyote ikopoa na unauza nicheki,763949447
Nipe michongo sasa kakaNipm tuyajenge mkuu