Umenipata mkuu nipo hapa nina rolly nzima ya mifuko hii ya plastic. Unaweza kupanda makumi elfu ya miche na pengine lisiishe. Niliinunua ili nioteshee miti lakini project hiyo niliisitisha.
Sina uhakika wa bei ya sasa kwa rolly nzima bt nizaidi ya TSH 400,000/=
Tuwasiliane nikuuzie.
NIPO MBALI KIDOGO LAKINI NAWEZA KUKUELEKEZA UTAFIKA.
Mtengeneza wa viliba yupo kule Changómbe Industrial. Ukishatoka Nyerere Road unaelekea Temeke kupitia ile barabara inayopita Chuo cha Ufundi chepuka kwenye barabara ya lami ya pili mkono wako wa kulia. Endelea na hiyo barabara hadi unapata kamuinuko kidogo na ndiyo hapo mkono wako wa kushoto kuna kiwanda kinatengeneza viliba. Utakuta get limefungwa lakini kuna Mlinzi karibu au Mama nitilie anayewapikia wafanyakazi hapo nje.
Nimeambatanisha ramani Tazama mraba chini kushoto nadhani ndipo hapo kwenye kiwanda.
Asante kwa kuni regard mkuu sana Mpangamji!
Pia nashukuru sana kwa uaminifu wako mkuu kufanikisha biashara ya viriba vizuri kabisa vyenye ubora!! Chonde chonde lakini usiviweke store vikaishia kuliwa na panya, vitendee haki!
Ni ukweli usiopingika kuwa naweza kufanya supply ya mbegu bora kabisa za mitiki. Cha mhimu ni kunitaarifu order yako mapema!
Mkuu Marire nitafte nikutumie mbegu kwa bei ndogo kabisa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.