Natafuta mifuko ya karatasi

Acheni kujidanganya, mifuko ya plastic itaadimika kwa mda mdgo sana kupisha huu upepo, bt itarudi kwa kasi ya kimondo, marufuku ya hii mifuko ilianzia mwaka 2004 kwa ambao hamujui.
Wanaweza wakafanikiwa mkuu mbona Zanzibar wameweza kudhibiti banaaa
 
Sasa mteja anatakiwa atember na kikapu chake tuu hamna namna
 
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu.
Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu.
Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane
 
Habari ulifanikiwa kupata mifuko ya karatasi kama bado karibu nikuhudumie nauza pic 100 kwa 20000 ila ya manila ngumu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…