Natafuta mifuko ya karatasi

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,341
2,000
Acheni kujidanganya, mifuko ya plastic itaadimika kwa mda mdgo sana kupisha huu upepo, bt itarudi kwa kasi ya kimondo, marufuku ya hii mifuko ilianzia mwaka 2004 kwa ambao hamujui.
Wanaweza wakafanikiwa mkuu mbona Zanzibar wameweza kudhibiti banaaa
 

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,341
2,000
Zile soft rambo zilikuwa zinauzwa elfu 1 na kukikuwa na pcs 100 so kila Pc ni Tshs 10, ukienda kununua hata matunda ya 500 muuzaji haoni hasara kukupa mfuko wa Tsh 10, sasa hii inayouzwa kila PC 300 hata mteja akinunua vitu vya 3000 bado ni hasara kutoa mfuko wa 300
Sasa mteja anatakiwa atember na kikapu chake tuu hamna namna
 

Doctor Reggo

Member
Apr 13, 2019
12
45
Yule aliesema ni matapel tumeshanza ku delivery mifuko na kwa bei sahihi
IMG_20190519_125019.jpeg
 

Helina Itambiko

New Member
Aug 14, 2019
2
20
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu.
Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane
Wapi naweza kupata mifuko ya karatasi mbadala wa hii ya plastic iliopigwa marufuku? Natafuta mifuko ya kutumia kwa wateja wangu.
Hamna mtu aliechukua hii fursa? Mwenye nayo tuwasiliane
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom